Dalili Kwamba Mke Uliyenaye Huenda Si Mwaminifu

Related image

1. Anapenda kuonekana mrembo zaidi tofauti na ilivyo kawaida hasa anapotoka
2. Anakuwa mgumu au hata mnagombana ukimuuliza alikuwa wapi
3. Anakuwa mwenye kubishana sana...anapenda kumkea mwanaume kichwani
4. Hapendi tendo la ndoa...hasa kama utaona hakuna sababu nyingine
5. Ubize umeongezeka..hasa kama hutaona amepandishwa cheo nk
6. Hakuangalii vizuri...mhhh hakuoni kama mtu
7. Hajali sana familia
8. wakati mwingine anakuwa na marafiki wa aina fulani ambao hata ukimzuia hakuelewi..,wewe umekuwa si wa maana tena....marafiki wana maana zaidi ya mume....mmmh...kumbe ndiyo makuwadi, wanaocheza uchafu wao huko
9. Hupenda kuwa msiri...
10. Atakuwa anapenda kubeba khanga au mtandio mpya.....wanawake wengi wanapokwenda gesti huwa hawapendi kujifutia mataulo ya gest....JE, UMEGUNDUA MTANDIO AU KHANGA YA MKEO ANAPORUDI NYUMBANI HUWA INALOA AU LA? Kwa asiyetulia huwa inaloa chapachapa....mara nyingi itabadilishwa, aliyobeba jana, leo anaiacha....ilitumikaje? Muulize akupe jibu.


*******************************


My take kama una roho nyepesi hapa ni kuwa mpole maana mwanamke akifikia hatua hii huwa anakuwa na majibu mabaya yaliyo jaa kiburi na jeuri ya hali ya juu huku akijiamini kuwa hauwezi kufanya lolote hapa ukiwa na roho ndogo unaweza ishia kumcharanga mapanga au kwa kuwa technolojia imeuwa basi saiz watu hutumia Bastola
Ushauri wangu kwa wanaume tujitahidi kuwajali wake zetu si kwa vitu bali kwa hisia kuwa naye karibu na kumjali tenga angalau siku moja kwa wiki kuwa na mke wako siyo kila siku bize mpaka weekend mke anashindwa hata kukushirikisha lolote,Huo mpira unaoushabikia wenzako wa kina Rooney,Ozil na Etoo wanalipwa wakati mwenzangu na mimi kimwanan wako nyongo mkalia ini muuza genge anamfaidi au mpaka rangi

Nanyi wanawake kuweni wavumilivu bwana ndo nini kibubu chako ambacho ni special kwa mumeo unatoa sehemu nyingine unajishushia thamani huyo unayejidai anakuridhisha mkimaliza anakudharau utasikia" Aaah mke wa fulani bwana hamna kitu pale nimemtafuna mpaka hamtaki mume wake msumbufu kweli sijui jamaa yake hawezi kazi"
Hebu chukueni mfano wa Delila ni mfano wa mwanamke aliyekuwa anabembeleza kwa mahaba mazito tena bila kuchoka na uvumilivu wa hali ya juu kumbuka Samsoni alikuwa msumbufu hata mtaani kwao alikuwa anaogopwa lakini kwa Delila alikuwa mdogo ..msiwaachie nyumba ndogo wanfanye hayo huku nyie mkibaki kununa tuu mkijua hiyo njia ya kuvuta tention fanyeni majukumu yenu ...........

**************************

Good luck

Comments