Nimeamua kuwa nae, ni mwanamke wangu! Sitasubiri arudi nyumbani toka kazini aniandalie dinner! Kama nimewahi kurudi home nitamsaidia kuandaa dinner.
Nitamuogesha na kumuandalia lotion yake nzuri inayonukia pamoja na night dress. Baada ya hayo, nitamsevia dinner pamoja na fruit salad, tutakula pamoja kwenye kochi huku tukiangalia movie mpaka pale atakaposinzia mikononi mwangu.
Nitambeba mpaka bedroom na hatimae tuta-make passionate love kutengeneza mtoto na yeye!
Haya mambo wanayaweza wachache, wale wenye akili ya kuishi na wake zao.
Unaweza kuwaona ni dhaifu, lakini hata siku moja huwezi kuwapangia namna ya kuwapenda wake zao, Mke anapendwa, mke sio wa kumtesa, mke sio wa kumuumiza, mke ni pambo la nyumba, mke anapendezeshwa.
Mke ni 'image' ya mumewe, mke ana-control mood ya nyumba. Ni fahari mno kuwa na mke anaependeza, ni fahari mno kuwa na mke anaekuona wewe kama mfalme wake!
Ni fahari mno kuwa na mke mlainiiiiiiii, mke hakomazwi iwe kimwili au kuhisia!!....That's some real nigga stuffs...that's for men of substance!!!
"CURVES can deceive, and BEAUTY is vain, but a Woman who fears the Lord she shall be praised." Proverbs 31:30 😍😍😍❤❤❤👏👏👏
Can i get holla from all females that Love the Lord!!!
Mdogo mdogo me na wewe, bampa to bampa.....tutafika tu...
Comments
Post a Comment