MAHABA/MAPENZI

💞Mapenzi ni vile unavyotaka wew yawe💑
💞Mapenzi hayaoti kam uyoga ila mapenzi nishamba ambalo linahitaj kila siku kupaliliw🌷
💞Namwisho wasiku litoe mavuno ambayo yameendelea,,kila siku penzi linataka lipaliliwe kwaupendo,,heshima,,nakujali👌,,,
💞Neno samahani nikama jembe lakutoa magugu yalozunguka mmea wamapenzi,,
💞Nakutoa msamaha nikipimo chaupendo wadhati kwayule unaempenda👄👄,,,,,
💞Mpenzi wakweli niyule anaechukua matatz yako nakuyafanya yakwake👌,,,
💞Alietayari kupambana🔫 kwaajili yako,,,alietayari kuteseka kwaajili yako,,alietayari kupoteza ili wew upate naalietayari kusimama kwaniaba yako ili uwe mshindi🙌🙌
💞Ukweli nauaminifu ndio nguzo pekee yakusimamisha mnara wapenzi lako💑💑,,,,
💞Ukiwa mkweli utakuwa mwaminifu naukiwa mwaminifu utakuwa mkweli,,
💞Mapenzi hayana mjuzi wala mapenzi hayana fundi,,,ila dawa yamapenzi nikuridhika nayule ulie mpenda nakuamini kuwa hakuna mwingine zaidi yake,,,
😍Mubashara👇👇👇👇😂😂😂😂
💞Ukumbuke hapa kuna madhna wameruhusiwa kuoa wake mpka wa4 usije kuninukuu tofauti waruhusun waume zenu waongeze wake kila bint wakiislam anahitaji stara nahakuna stara bora dunian km kuwa namume mzuri upo hapo nyonyo😂😂😂pata presh zimia kufa kwa mda ukizinduka ujue kuna mwenzio sawa ukikataa bas wew sio Muslim😎
💞Mpende anaekupenda,,muheshimu anaekuheshimu mjali anaekujali zidisha upendo kwake yeye ndio furaha yako,,,,
🙇Kunawenzio nje huko wanataman wawe kama wew usichezee bahati km umepata penye utulivu tulia ridhika nae👌👌

Comments